Jinsi ya kufaulu mitihani
Katika hii blog utaweza kujifunza namna ya kufaulu mitihani
Hapa ntaelezea njia chache tu
1.Soma kwa malengo
Ukisoma kwa malengo itakusaidia wewe kupambania ndoto yako uliyonayo
2.Soma kwa kufupisha yaani summary
Usomaji wa njia hii itakusaidia kusoma kitu bila kukuchosha
Comments
Post a Comment