Jinsi ya kufaulu mitihani
Katika hii blog utaweza kujifunza namna ya kufaulu mitihani Hapa ntaelezea njia chache tu 1.Soma kwa malengo Ukisoma kwa malengo itakusaidia wewe kupambania ndoto yako uliyonayo 2. Soma kwa kufupisha yaani summary Usomaji wa njia hii itakusaidia kusoma kitu bila kukuchosha